Masele Joe Member Joined Sep 8, 2013 Posts 45 Reaction score 4 Jan 14, 2014 #1 Kuna mtu aliwahi niambia kwamba ukiweka sukari katika maziwa (hasa maziwa fresh) hupoteza uhalisia na ubora(virutubisho) wake.Pia akasema hata mtu mwenye madonda ya tumbo anashauriwa asitie sukari kwenye maziwa. Je, hili lina ukweli ndani yake?.
Kuna mtu aliwahi niambia kwamba ukiweka sukari katika maziwa (hasa maziwa fresh) hupoteza uhalisia na ubora(virutubisho) wake.Pia akasema hata mtu mwenye madonda ya tumbo anashauriwa asitie sukari kwenye maziwa. Je, hili lina ukweli ndani yake?.
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Jan 14, 2014 #2 inategemea ntu na ntu....
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 442 Jan 14, 2014 #3 huyo alikudanganya.
kibhopile JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 1,513 Reaction score 765 Jan 15, 2014 #4 ni ulongo uo.
Masele Joe Member Joined Sep 8, 2013 Posts 45 Reaction score 4 Jan 15, 2014 Thread starter #5 TANMO said: inategemea ntu na ntu.... Click to expand... Inategemea na mtu kivipi?.Kwani uhalisia ukoje?.
TANMO said: inategemea ntu na ntu.... Click to expand... Inategemea na mtu kivipi?.Kwani uhalisia ukoje?.
M mlavie JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 296 Reaction score 260 Feb 16, 2017 #6 Inategemeana na ntu kwa sababu kama ana Minyoo basi akiweka sukari ndio ile minyoo itazidi kuwa active na kumtafuna vizuri
Inategemeana na ntu kwa sababu kama ana Minyoo basi akiweka sukari ndio ile minyoo itazidi kuwa active na kumtafuna vizuri