Kuna madhara kutumia ARV's kwa mtu asiye mgonjwa?

Jimny

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
344
Reaction score
849
Wakuu habari za Muda huu?

Naomba kujua ni yapi madhara au faida za kuanza kutumia dose ya ARVs kwaajili ya kuimarisha kinga ya mwili kwa Mtu asiye na maambukizi ya HIV AIDs?
 
Nani kakuambia iyo ndo kazi yake? Tuanzie hapo.

jieleze vizuri ili usaidike km una tatizo.
 
Wakuu habari za Muda huu?

Naomba kujua ni yapi madhara au faida za kuanza kutumia dose ya ARVs kwaajili ya kuimarisha kinga ya mwili kwa Mtu asiye na maambukizi ya HIV AIDs?
Hivi kuna madhara ya kufunga POP hata kama sijavunjika mguu? Ili kuimarisha kinga ya mifupa na kuilinda isivunjike ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwakweli hii nchi bado ya wajinga sana wallah!
 
Wakuu habari za Muda huu?

Naomba kujua ni yapi madhara au faida za kuanza kutumia dose ya ARVs kwaajili ya kuimarisha kinga ya mwili kwa Mtu asiye na maambukizi ya HIV AIDs?
Nenda kapime acha uwoga. Huko wataalamu watakushauri na kujibu maswali yako yote.
 
Wakuu habari za Muda huu?

Naomba kujua ni yapi madhara au faida za kuanza kutumia dose ya ARVs kwaajili ya kuimarisha kinga ya mwili kwa Mtu asiye na maambukizi ya HIV AIDs?
Haiongezi kinga, ila inapambana na virusi wanaoharibu kinga
 
Back
Top Bottom