Kuna madhara kwa mjamzito kunywa dawa ya minyoo?

Kuna madhara kwa mjamzito kunywa dawa ya minyoo?

Joined
Jun 15, 2015
Posts
73
Reaction score
9
Mwanamke mwenye ujauzito wa wiki 3.

Je anaweza kunywa dawa ya minyoo na isilete madhara juu ya ukuaji wa mtoto?
 
Mwanamke mwenye ujauzito wa wk 3,je anaweza kunywa dawa ya minyoo na isilete madhara juu ya ukuaji wa mtoto?

Msaada
 
Haijalishi una mimba ya umri gani ni marufuku kunywa dawa ya aina yoyote bila ushauri wa daktari.
So sidhani kama jf ni mahali pake huyo mama mtarajiwa aende hosp
 
Chini ya mimba yenye umri wa miezi mitatu usijaribu, fanya hivyo endapo unataka kuharibu mimba.
 
Back
Top Bottom