P penitentiaries Member Joined Jun 15, 2015 Posts 73 Reaction score 9 Jul 7, 2015 #1 Mwanamke mwenye ujauzito wa wiki 3. Je anaweza kunywa dawa ya minyoo na isilete madhara juu ya ukuaji wa mtoto?
Mwanamke mwenye ujauzito wa wiki 3. Je anaweza kunywa dawa ya minyoo na isilete madhara juu ya ukuaji wa mtoto?
P penitentiaries Member Joined Jun 15, 2015 Posts 73 Reaction score 9 Jul 7, 2015 Thread starter #2 Mwanamke mwenye ujauzito wa wk 3,je anaweza kunywa dawa ya minyoo na isilete madhara juu ya ukuaji wa mtoto? Msaada
Mwanamke mwenye ujauzito wa wk 3,je anaweza kunywa dawa ya minyoo na isilete madhara juu ya ukuaji wa mtoto? Msaada
shansarie JF-Expert Member Joined May 25, 2013 Posts 5,690 Reaction score 3,367 Jul 7, 2015 #3 Haijalishi una mimba ya umri gani ni marufuku kunywa dawa ya aina yoyote bila ushauri wa daktari. So sidhani kama jf ni mahali pake huyo mama mtarajiwa aende hosp
Haijalishi una mimba ya umri gani ni marufuku kunywa dawa ya aina yoyote bila ushauri wa daktari. So sidhani kama jf ni mahali pake huyo mama mtarajiwa aende hosp
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 Jul 7, 2015 #4 Chini ya mimba yenye umri wa miezi mitatu usijaribu, fanya hivyo endapo unataka kuharibu mimba.