Kuna madhara kwa mtoto kwa kujamiana na mama anayenyonyesha?

Kuna madhara kwa mtoto kwa kujamiana na mama anayenyonyesha?

Lion01

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
527
Reaction score
995
Wanajamii forum,naomba mnisaidie kuna jambo linanitatiza,Je ni sahih kufanya mapenzi na mama anayenyonyesha!

Kwa sababu kuna mila(kwa sababu sijapata ushahidi wa kisayansi) zinasema kuwa endapo utafanya mapenzi na mama anayenyonyesha kuna madhara atayapata.

Je ni madhara gani na nin kinatokea katika mwili wa mwanamke na kupelekea madhara kwa mtoto anayenyonya,. Ninaomba zaidi sababu ziwe za kisayansi
 
Nami nasubiria majibu ......ngoja nisubscribe kabsa
 
Lakini huwa nasikia ukifanya mapenzi na mwanamke ambaye ananyonyesha mtoto ambaye sio wako, mtoto anaweza kupata madhara

Mfano mtoto anaweza akashindwa kutambaa...lakini pia ukuaji kwa mtoto unaweza ukadumaa na magonjwa kwa mtoto yanaweza kuwa ya kila mara...... Ni hayo tu japo ni maneno ya kusikia kwa watu cjayafanyia utafti
 
Najua jibu unalotaka kupewa... Ni kweli utambemenda mtoto... Anakuwa hana afya, miguu inakosa ushirikiano... acha kabisa... muhurumieni mtoto...
 
Zingatia usafi, mkitoka kudinyana kumbukeni kwenda kuoga kabla hamjanza kumbeba/kumnyonyesha mtoto.
 
Hapo huwezi pata jibu sahihi hadi nawe uwe na mtoto. kiukweli mapenzi na mama mwenye mtoto mchanga hayana motisha. kama ni mkeo wote huwa na hofu na tukio hilo. anaweza kukupa tu zigo ule huku yeye akiwaza mwanae. so ni shida kwa kweli. Ni vema kusubiri tu japo miezi kadhaa si siku 42 kama wataalam flani wasemavyo.
japo ktk kipibdi hicho wamama wanakuwa wskorofi sana wakikumbhka mzee daily ilikuwa lazima udu, sasa why inamuacha tu, hapo migogoro hutokea nawe bila huruma na nini ukasindilia kitu!!
 
Kwa maelezo haya naomba kuitimisha kuwa hakuna madhara ya kufanya mapenzi na mama anayenyonyesha, cha kuzingatia ni usafi tu
 
amna madhara yoyote nilikuwa napiga mama watoto kama kawa....kitu kikubwa usafi tu sio unagonga mzigo mwanamke ananukia maziwa kabla ya mechi mnapiga maji na baada ya game mnapiga maji.
 
Hakuna tatizo lolote we kamua tu! Stories za kubemenda no ushirikina wa kiswahili tu na wengine wanakosa lishe bora wanasingizia mtt kabemendwa
Uko sahihi kabisa Mkuu. Nadhani kinachotokea ni mama mtoto kunogewa na penzi hasa kama ni la mchepuko na kukosa umakini kwa mtoto hasa ni wakati gani wa kumlisha au kumnyonyesha kwa kuwa yeye atakuwa na mcheche na miadi yake. Utakuta Mtoto anachelewa kulishwa au pale anapohitaji lishe mama kaatamiwa mbali mtoto anaishia kulia kutwa.
 
Back
Top Bottom