Uko sahihi kabisa Mkuu. Nadhani kinachotokea ni mama mtoto kunogewa na penzi hasa kama ni la mchepuko na kukosa umakini kwa mtoto hasa ni wakati gani wa kumlisha au kumnyonyesha kwa kuwa yeye atakuwa na mcheche na miadi yake. Utakuta Mtoto anachelewa kulishwa au pale anapohitaji lishe mama kaatamiwa mbali mtoto anaishia kulia kutwa.Hakuna tatizo lolote we kamua tu! Stories za kubemenda no ushirikina wa kiswahili tu na wengine wanakosa lishe bora wanasingizia mtt kabemendwa