Kuna madhara kwa mwanamke kumeza manii/shahawa?

NG'ADA

Senior Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
152
Reaction score
15
je nikimmwagia sperm mdomoni mwenzi wangu atapata madhara gani?...maana yeye huwa anapenda na analazimisha nifanye hivyo...
kuna tatizo anaweza pata kiafya?
 
duu,hii kali,nadhani huyo hata shere yake ya msos,i inabidi ule wewe mzee ilufanisi uwe mzurii
 
Mkuu Dr. Riwa alishaleta majibu ya hii kitu, hasa madhara kwa kina dada. Kama sikumbuki hii kitu inasababisha kansa kwa wadada. Hata hivyo subiri wengine watakuja na majibu ya hii kitu mkuu
 
Hiyo haipo tamaduni, mwambie awaachie wazungu.
 
Mkuu wapi huwa mnakutanaga nikatege kamera? Naweza tajirika kwa hii ya kibongo!!
 
au anasikiliza maneno ya wazushi kuwa hizo kitu zinanenepesha anaona bora azinywe kabisa uwe una mmiminia na kwenye kikombe basi psiiiiiiiiii!
 
hazina madhara yoyote, ile ni kama siagi tu au asali na ni full of protein wala asikudanganye mtu.
 
Mnadanganywa sana na porno

Kweli kabisa! sinema zinatupoteza sana due to lack of academic endeavour! Mtz akiona mtu kachomwa kisu kwenye movie kesho yake mtu atapigwa kisu laivu uwanja wa fisi. Vitu vingine tunaiga tu, zile ni fix za watayarishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…