HI' WANAJAMII'
Naomba nipate mawazo yenu,kuna rafiki yangu wa karibu sana, leo jioni ameniomba ushauri kwamba ana mpenzi wake ambaye wamekua wote kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Huyo rafiki yake katika faragha anagusisha sehemu zake za siri na mdomo hadi pale anapomaliza kabisa na kupelekea manii kumezwa na huyo mpenzi wake. Kajaribu kuepusha hilo lakini huyo mpenzi wake hataki kuacha hio tabia.
Jamaa yangu anaomba kujua kama kuna madhara ya mwenzie (yaani mwanamke) kumeza hizo manii.
Nawasilisha.