Stress na ujauzito??
Pole sana
wanadai moja kwa afya, sema wengine mkiruhusiwa hamna breki mnaishia kutuharibia wanetu tu kila leo
Kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa miez 6 kunywa pombe? Nijuzeni kwa mnaofaham maana stress zimezidi bora ninywe pombe tu.
Kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa miez 6 kunywa pombe? Nijuzeni kwa mnaofaham maana stress zimezidi bora ninywe pombe tu.
Pombe kama pombe ina madhara hata kama si mjamzito, ila katika hali uliyo nayo stress hazikosekani kunywa wine at least madhara si kivile
Tatizo nini mama? Usijipe stress dada angu hebu furahia hiyo zawadi aliyokupa mungu wengi wanaililia wameejaaliwa kila kitu fedha,majumba,magari ila hawana kizazi.....
Furahia hiyo neema kubwa aliekupa mola wako.........
Umebeba kiumbe kizuri mungu ajaalie awe kila sababu ya kukuweka uwe na furaha maisha yako..
Usijipe stress plz plz kula vizuri,pumzika vizuri na muhimu mazoezi....
Kila la kheir mama kijacho...
Asante kwa kunipa moyo aisee......
Kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa miez 6 kunywa pombe? Nijuzeni kwa mnaofaham maana stress zimezidi bora ninywe pombe tu.
Wine pia ina alcohol!
Kesho njoo ulale kwangu stress zitaisha.
At least wine kuliko pombe kali na bia
mama wee!
Nimependa elimu hii naomba unijuze kama mtu ni frequent user wa alcohol kipata ujauzito ni wakati gani mzuri kwake kuacha kabsa kutumia???au ni stage zipi katika ujauzito hutakiwi kabsa kunywa pombe??Ndio kuna madhara kwa mjamzito kunywa pombe…inasababisha uzae mtoto mwenye FETAL ALCOHOL SYNDROME.Mtoto ambae hatokuwa na development ya kawaida anaweza kuwa central nervous system manifestation kama mental retardation.
Pombe inasababisha mapungufu/kufa kwa neurons kwenye ubongo hatimae kupungua kwa cerebral mass(uzito wa ubongo).
Hali hii inapelekea low intellectuality (mzito kujifunza vitu tofauti), mwenye mapungufu ya social skills, growth deformations (mapungufu kwenye viungo au viungo vyenye mapungufu),cardiovascular deformations(matatizo kwenye moyo) n.k
View attachment 167214
Watoto wanaozaliwa wazazi wakitumia kilevi wanakuwa na characteristics kama za kwenye picha hapo haswa za uso!