Nimependa elimu hii naomba unijuze kama mtu ni frequent user wa alcohol kipata ujauzito ni wakati gani mzuri kwake kuacha kabsa kutumia???au ni stage zipi katika ujauzito hutakiwi kabsa kunywa pombe??
Hakuna stage! ukijua tu una ujauzito epuka kutumia pombe kabisa!hayo madhara niloyotaja baadhi yanatokea kwenye early stage za embryonic development na hata later stages!