Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Flagyl +pombe =R.I.P mkuuNaombeni kujua Madhara ya kuchanganya dawa aina ya flygyl (flajin) na kilevi
ponbe ni dawa ya kuondoa msongo wa mawazo na flagyl ni antibiotic inayotibu bacteria aina ya anaerobeFlyglin ni dawa ya nini?
Pombe ni dawa ya nini?
Swali lako ni straight sana. Inaashiria unajua jibu la swali lako.Naombeni kujua Madhara ya kuchanganya dawa aina ya flygyl (flajin) na kilevi
Ni elimu kwa jamii tu mpenziyou must be a Dr. by proffesion. Nimeisoma hiyo Disufiram ni hali ambayo mtu anaipata kama ametumia dawa inayomzuia kunywa pombe