Hapa unahitajika ushauri wa kitaalam na sio mipasho, wafugaji walio wengi hupunguza pembe wangali bado wadogo kuepusha hizo athari hasa kwa wale wanaofugwa na kulishwa ndani ya banda...Kuna mbuzi amewahi kuleta mashitaka kwako kuwa kajeruhiwa na mwenzake?
Kama hakuna acha kuwapunguza.
Nimefuga mbuzi najua nachosema. Wanyama wanajua namna ya kuishi siyo kama wewe ukiwa na panga mkononi basi kila mtu akukimbie.Hapa unahitajika ushauri wa kitaalam na sio mipasho, wafugaji walio wengi hupunguza pembe wangali bado wadogo kuepusha hizo athari hasa kwa wale wanaofugwa na kulishwa ndani ya banda...
Nashukuru pia kwa kuchangia, kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mfugaji na kuishi na mifugo hivyo ingekua vyema zaidi nipate ushauri toka kwa wafugaji wabobezi na sio wewe unayeishi na mifugo, nadhani tumeelewana usipende dandia mada usizozijua...Nimefuga mbuzi najua nachosema. Wanyama wanajua namna ya kuishi siyo kama wewe ukiwa na panga mkononi basi kila mtu akukimbie.
Kuna mtu huwa anakata nyati pembe?
Sasa mbona wewe unaishi na mifugo ina maana ABC kuhusu mifugo umekuja kuzijulia huku.Nashukuru pia kwa kuchangia, kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mfugaji na kuishi na mifugo hivyo ingekua vyema zaidi nipate ushauri toka kwa wafugaji wabobezi na sio wewe unayeishi na mifugo, nadhani tumeelewana usipende dandia mada usizozijua...
Shukrani kwa ushauri mkuu...Kiuhalisia kama Pembe zetatolewa vyema hakuna madhara yeyote yatakayomfika mbuzi husika. Ila kama zitakatiwa chini sana karibu na fuvu basi kuna hatari ya kuweka wazi sehemu ya ubongo na hatua stahiki zisipofanywa basi mbuzi/kondoo/Ng’ombe atapata madhara.
Faida moja wapo ya kutoa pembe ni Kupunguza hatari ya kujeruhi/kuumiza wanyama wengine na ayamtunza. Rahisi kudhibitiwa.
Kwa Maelezo zaidi
Wasiliana na Sipy Vet Centre kituo cha huduma za mifugo. +255764667 503
Mbona unaleta ubishi usio na faida?Sasa mbona wewe unaishi na mifugo ina maana ABC kuhusu mifugo umekuja kuzijulia huku.
Wakate na miguu kabisa.
Leo niko ibadani. Subiri kesho.Mbona unaleta ubishi usio na faida?
Mbuzi kitaalamu kama pembe zinakua kubwa ni vyema kuzijata hasa kwa mbuzi wa kisasa ili kuepusha hatari za kuumizana wao kwa wao au hata wewe mfugaji!
Sio mbuzi tu hata ng'ombe tunakata pembe na nguruwe vile vile tunakata meno kuzuia hilo la kuumizana!
Nakubaliana na mdau hapo juu wewe umeishi na mbuzi hujawahi kufuga mbuzi!
Huyo mbwiga msamehe bure kila kitu anajifanya mjuaji wakati anaishi na mifugo...Mbona unaleta ubishi usio na faida?
Mbuzi kitaalamu kama pembe zinakua kubwa ni vyema kuzijata hasa kwa mbuzi wa kisasa ili kuepusha hatari za kuumizana wao kwa wao au hata wewe mfugaji!
Sio mbuzi tu hata ng'ombe tunakata pembe na nguruwe vile vile tunakata meno kuzuia hilo la kuumizana!
Nakubaliana na mdau hapo juu wewe umeishi na mbuzi hujawahi kufuga mbuzi!
Nimekupata vyema kiongozi....mkuu unaweza punguza mbuzi pembe ila nakushauri ita mtaalamu wa mifugo. mbuzi anaweza kukatwa pembe zile zilizochongoka na kufanywa butu ili zipunguze madhara si wao kwa wao tu pia kwa wale wawahudumia(hasa kwa wale wa maziwa wafugwao ndani).
ILA mbuzi si maranyingi sana kuumizana