kuna madhara ya shahawa kwa mtoto anayenyonya....?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
jaman kama headn ilivyo.... naomben mchango wenu
 
Kawaida ya mtoto zile shahawa za baba yake huwa zinampa nguvu katika makuzi yake ya kila siku akiwa anakua.
Kwa sperm ni wale wale ambao wameshazoea mwili uleule.

Ikitokea mama akatoa huduma za dharura kwa mwengine hapo sperm za huyo mtu mwengine hugonganza na zile za kawaida zilizozoea mwilini mwa mama hapo huanza vita vya sperm A na sperm B wapya.
Hivi hupelekea mwili wa mama wa mtoto kuzalisha maziwa yenye sperm A&B kwenda kwa mtoto mtoto akinyonya maziwa yenye sperm wa aina 2 mwili wake hulainikaaa sana kuwa legeleg sanaa kwa lugha za pwani wanasema anabemendwa.
 
Duh! Umeniacha ktk mataa hapo. Ngoja wataalam wengine waongee. Ila, iwapo mtu anachepuka, kwa nini msitumie kinga?
 
Duniani kuna mambo. Mimi sioni uhusiano kati ya sperms na afya ya mtoto.Sperms zilizoshindwa kurutubisha yai hutolewa nje kama uchafu,tangu zikatoka kwenye mwili wa mama kwenda kwa mtoto Mimi naona hizo ni imani tu.
 
so unaamini hazina msaada wowote kwa mtoto.....
Duniani kuna mambo. Mimi sioni uhusiano kati ya sperms na afya ya mtoto.Sperms zilizoshindwa kurutubisha yai hutolewa nje kama uchafu,tangu zikatoka kwenye mwili wa mama kwenda kwa mtoto Mimi naona hizo ni imani tu.
 
Kawaida ya mtoto zile shahawa za baba yake huwa zinampa nguvu katika makuzi yake ya kila siku akiwa anakua.
Kwa sperm ni wale wale ambao wameshazoea mwili uleule.

Ikitokea mama akatoa huduma za dharura kwa mwengine hapo sperm za huyo mtu mwengine hugonganza na zile za kawaida zilizozoea mwilini mwa mama hapo huanza vita vya sperm A na sperm B wapya.
Hivi hupelekea mwili wa mama wa mtoto kuzalisha maziwa yenye sperm A&B kwenda kwa mtoto mtoto akinyonya maziwa yenye sperm wa aina 2 mwili wake hulainikaaa sana kuwa legeleg sanaa kwa lugha za pwani wanasema anabemendwa.

mmmmmmm maneno nimengi.... hebu tusubir wengine ...
 
Duniani kuna mambo. Mimi sioni uhusiano kati ya sperms na afya ya mtoto.Sperms zilizoshindwa kurutubisha yai hutolewa nje kama uchafu,tangu zikatoka kwenye mwili wa mama kwenda kwa mtoto Mimi naona hizo ni imani tu.

hazitoki nje kama uchafu ile ni protin huwa inarutubishwa na kuendelea kutumika mwilin
 
Br mpe dushe anyonye kabisa kwani hazina madhara hizo.
 
Back
Top Bottom