Kuna Madhara yeyote unapotumia MAGIC unapo nyoa ndevu?

Mangii

Member
Joined
May 3, 2012
Posts
52
Reaction score
3
Wana jamii naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu kwamba,mtu anapoyumia Magic kunyolea ndevu anaweza kupata weusi fulani usoni baada ya muda fulani je? kuna aina nyingine ya Magic ambayo mtu akiitumia hataweza kupata huo weusi usoni?kwa anayefahamu naomba anisaidie plz.
 
Nishatumia ikantoa manundu mbaya,yani sitaki hata niiaikie
 
mimi ningependa pia kujua kama mtumiaji anaweza kupata athari zengine kama cancer baadaye?
 
Nishatumia ikantoa manundu mbaya,yani sitaki hata niiaikie

Pole,kwa ufahamu wangu kila mtu na aina ya ngozi yake na iko na mzio kwa vitu gani.Wengine hata hiyo topaz watoa mapele.Kwa upande wa athari ndo nangoja nipate lolote toka kwa wanaofahamu.
 
Back
Top Bottom