Denda Lina madhara linatia umaskini linaondoka na fulusi kila linapopigwaSijawahi kusikia kama mate yana madhara
Ni dawa
Inaongeza nguvu za kiume[emoji1321]
Sijawahi kusikia kama mate yana madhara
Denda Lina madhara linatia umaskini linaondoka na fulusi kila linapopigwa
Ni dawa nzuri tena ukinywa na maji ya moto kabla ujapga mswaki.. maana mdomoni kuna enzymes (pyncreatic amirase) sjui kama nimepatia jina... zinazosaidia kupunguza tatzo la vdonda vya tumbo...
Nashukuruni wadau kwa kunitoa wasiwasiSasa mkuu hayo mate kama yanasababisha chochote kuna mtu angebaki kweli? Usiku wote unayameza.
Zile rangi wanazopaka wadada midomoni zina madhara au hazina madhara zikimezwa. Nauliza tu.
Salivary amylase sio iyo ulotaja hapo juuNi dawa nzuri tena ukinywa na maji ya moto kabla ujapga mswaki.. maana mdomoni kuna enzymes (pyncreatic amirase) sjui kama nimepatia jina... zinazosaidia kupunguza tatzo la vdonda vya tumbo...
Naombeni kuuliza wadau tangu niko mdogo nina kawaida kila nikilala usiku au mchana uwa najaa mimate mdomoni ambayo nimekuwa na kawaida ya kuyatema sasa siku hizi nimeanza kuyameza maana yalikuwa yananifanya asubuhi kabla sijatema nisingeweza kuzungumza na yeyote.
Je ayo mate yana madhara yoyote short or long term effects?