Kuna madhara yoyote mjamzito wa miezi 2 akisafiri umbali mrefu?

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,770
Reaction score
954
salaam wadau
je kwa mja mzito wa 2 miezi kusafiri kwa basi umbali wa 450km(300 lami,150 vumbi) kuna madhara yoyote kiafya yake na kababy kake. naomba kuwasilisha
 
kwamba anasafiri kwenda mwezini ama, kama ni humu humu hakuna madhara maana tumewaona wengi wakisafiri hata na mimba ya 9 month.

kwanza ki mimba cha 2month ni sawa na hakuna tu, sema kama inamkimbiza kutapika sana, kutaka sana maboga na uduvi
 
anatapika balaa
 
nime umiss uduvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…