Kuna madhara yoyote ukitumia hizi dawa ukiwa mjamzito aspirini na fragile

DIKE

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
370
Reaction score
156
Habari zenu wana jf . Kuna madhara yoyote kama mama mjamzito atatumia dawa hizi aspirin na fragile. Mchango wako mhimu
 
Flagyl ina active ingredient inayoitwa METRODINAZOLE..Na haitakiwi kutumiwa wakati wa ujauzito,labda kama hakuna njia nyingine zaidi ya kutumia dawa hio lakini researches za wanyama zinaonesha kwamba inasababisha teratogen effect(mtoto apate mapungufu kwenye viungo au viungo visivyokamilika)akiwa kazaliwa!
Aspirin haishauriwi kutumika vilevile wakati wa ujauzito,Dawa hii inazuia prostaglandine synthesis na hali hii inaweza kusababisha matatizo kwenye development ya kichanga,abortion na hata madhara kwa kichanga hicho.Inaweza kusababisha matatizo ya moyo(CARDIOPULMONARY TOXICITY) na mafigo kwa mtoto anayezaliwa haswa kwenye third trimester.
Risk ya kupata matatizo hayo huongezeka kutokana na dosage na muda wa matumizi ya dawa.Aspirin haitakiwi kutumika kwenye first and second trimester kama si kwa ulazima sana.Na kama itatumika dosage inatakiwa iwe ya chini na kwa muda mfupi.
 
Kuna madhara yoyote kwa mwanamke akitumia Flagile kama njia mojawapo ya kujikinga na mimba?
 
Hio sio dawa ya kujikinga na mimba, ni antifungal/antibiotic inayotumika kutibu infections za aina tofauti!kwa maana hio haiwezi kutumika kama njia ya kujikinga na mimba!
 
usilogwe kumeza dawa yoyote wakat mimba bila ya daktar
 
Back
Top Bottom