madhara n meng ila kwa kifupi utapata yafuatayo
#minyoo-kuna baadhi ya minyoo wanataga mayai tumbon sasa mtu akienda haja huwa yanatoka na pengine yakajishika kwa ukuta na kwa nywele za kunako071...kwa hiyo ukinyonya unameza mayai ya minyo thus infection.
#bacteria wa tumbon mfano vibrio,salmonella,e coli,shigella,klebsiela na wengne weng,hawa wanaasababisha kuhara
#viruses mfano HPV,HSV ,polio virusa.nd probably rotavirus....hpv anasababisha cancer ya koo na kinywa,rota virusbwanasababisha kuhara,polio anasabanisha paralysis.
hiyo ya cancer ndo Harari zaidi kwasabab matibabu take n ghali.....