Inategemea na dozi,muda utakao kuwa exposed na umbali...but kwa ile inayotumika ktk tiba imeshafanyiwa utafiti na kuruhusiwa kutumika naamisha haina madhara makubwa sana...na hairuhusiwi kupigwa mara kwa mara unless necessary.
Xray inatabia ya kubadilisha cell na hivyo kusababisha madhara ya jiafya kama vile cancer na birth defect.