SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Kama inavyojieleza hapo juu ningependa kufahamu kama Sugar Beets ambayo ni mbadala wa Sugar Cane (MIWA) kwenye kutengeneza sukari ya majumbani inalimwa wapi hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu cheki hii video youtube umuone mtafiti akitoa maelezo. Inaweza kuoteshwa na ikazalisha sukari
Unataka kuilima wapi? Itahitaji utafiti kidogo na kushirikisha wataalamu. Naamini tanzania kuna maeneo mazuri ya kuilima zaidi ya kenya... asante kwa hii video Kiongozi. Nimeisikiliza, wanasema sugar beets inastawi in "temperate zones" ambayo mengi yako nje ya tropics (ramani: https://www.researchgate.net/figure...Koeppen-climate-classification_fig1_333828390). Kwa Tanzania, kama ilivyo kwa Kenya, ni maeneo machache sana ambako hilo zao linaweza kustawi hasa sehemu zenye unyevu na ubaridi kipindi kirefu cha mwaka.