SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
... asante kwa hii video Kiongozi. Nimeisikiliza, wanasema sugar beets inastawi in "temperate zones" ambayo mengi yako nje ya tropics (ramani: https://www.researchgate.net/figure...Koeppen-climate-classification_fig1_333828390). Kwa Tanzania, kama ilivyo kwa Kenya, ni maeneo machache sana ambako hilo zao linaweza kustawi hasa sehemu zenye unyevu na ubaridi kipindi kirefu cha mwaka.
Mkuu cheki hii video youtube umuone mtafiti akitoa maelezo. Inaweza kuoteshwa na ikazalisha sukari
Unataka kuilima wapi? Itahitaji utafiti kidogo na kushirikisha wataalamu. Naamini tanzania kuna maeneo mazuri ya kuilima zaidi ya kenya... asante kwa hii video Kiongozi. Nimeisikiliza, wanasema sugar beets inastawi in "temperate zones" ambayo mengi yako nje ya tropics (ramani: https://www.researchgate.net/figure...Koeppen-climate-classification_fig1_333828390). Kwa Tanzania, kama ilivyo kwa Kenya, ni maeneo machache sana ambako hilo zao linaweza kustawi hasa sehemu zenye unyevu na ubaridi kipindi kirefu cha mwaka.