demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ukweli unaouma Simba na Yanga zinatumia muda na nguvu nyingi sana kufikiri na kufanya mambo ili kuumizana wao kwa wao; badala ya jinsi ya kufanikiwa kimataifa Kila hatua, kila kitu wanafanya wanafikiria Mtani wa Jadi! Tunajibakisha Ndondo kwa fikra hii.
Naipenda na naiheshimu timu yangu sana. Naipa muda nione matokeo ya mkakati huu. Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa. Zile tano zitahusika nasi sana tu ugenini; hata kama tutashinda nyumbani Muda utaongea.