Mkuu, mabeki wao si level za VPL.Kulia atakimbiza Morrison, Kushoto atakimbiza Miquosone. Sub Deo Kanda, Sub Kahata. Hapo hamna hamna mpaka half time Al Ahly 0-4 Simba, Tena tuko away Misri hapo.
Kulia atakimbiza Morrison, Kushoto atakimbiza Miquosone. Sub Deo Kanda, Sub Kahata. Hapo hamna hamna mpaka half time Al Ahly 0-4 Simba, Tena tuko away Misri hapo.
Simba alikuwa anagongwa tano kutokatana na approach ya kocha mkuu.....Ugenini anashambulia tu, as if wako level moja na Ahly...Nitajie sub ya safu ya ulinzi...maana ninawaona wale wale waliochezea KIGANJA.
Kawaida yao! Hawafiki popote, tutaishia kombe la "karia" na simba yake!Ukweli unaouma Simba na Yanga zinatumia muda na nguvu nyingi sana kufikiri na kufanya mambo ili kuumizana wao kwa wao; badala ya jinsi ya kufanikiwa kimataifa Kila hatua, kila kitu wanafanya wanafikiria Mtani wa Jadi! Tunajibakisha Ndondo kwa fikra hii.
Naipenda na naiheshimu timu yangu sana. Naipa muda nione matokeo ya mkakati huu. Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa. Zile tano zitahusika nasi sana tu ugenini; hata kama tutashinda nyumbani Muda utaongea.
Ukweli unaouma Simba na Yanga zinatumia muda na nguvu nyingi sana kufikiri na kufanya mambo ili kuumizana wao kwa wao; badala ya jinsi ya kufanikiwa kimataifa Kila hatua, kila kitu wanafanya wanafikiria Mtani wa Jadi! Tunajibakisha Ndondo kwa fikra hii.

Hakika kuna watu wana mshauri vibaya MONitajie sub ya safu ya ulinzi...maana ninawaona wale wale waliochezea KIGANJA.
Nenda Instagram wameondoa post zote za Morrison akisaini zile nyaraka feki maana ni plain paperSimba alikuwa anagongwa tano kutokatana na approach ya kocha mkuu.....Ugenini anashambulia tu, as if wako level moja na Ahly...
Usajili bado haujafungwa...ko subiri Ukuta lazima uzingatiwe...
Wameshaanza na Ame na Kameta kama backup ya Kennedy na Kapombe......
Bado beki moja ya kimataifa hivyo unapaswa kutulia mkuu.
Vipi mwaka jana mliishia wapi mkuu kwenye hiyo michuano? [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni Yanga usijifiche kwenye kichaka Cha mahindi. Simba hawasajiri hovyo hovyo tu ila kwa kufata mapendekezo ya mwalimu. Na hizo tano unazosemea sisi Simba hazikutukera hata kidogo. Kiujumla kwenye mashindano yale tulifanya vizuri sana. Tulikua na Al ahly, as Vita na soura timu zote zimetupita kwa kuinvest kwenye mpira ila kocha na wachezaji walipambana mpka wakashika nafasi ya pili na kusonga robo fainali na kuwaacha as vita. Taifa likaongezewa idadi ya timu za kushiriki mashindano ya kimataifa. Kwenu nyingi Yanga mnajifanya hamuoni yote hayo mnaona tano tu za ugenini. Luc aymel alisema mashabiki wa utopolo hamjui mpira mnabweka tu Kama manyani na mbwa. Na huo ndio ukweli.
Walisema Yanga imesaini mwizi wa magari. Labda wanamtaka akaungane na Mzungu pori kuiba na kutapeli magari.Mashabiki wa simba jana wameruka-ruka kama ndama wakishangilia ujio wa Morrison ambaye hapo awali walisema hajui mpira 🤣