Uchaguzi 2020 Kuna mahali CCM ilikosea?

Mi siko serikalini lakini huku nilipo mwajiri wangu anafanya ubabe mithili ya kiongozi wa nchi akikiuka mkataba na haki za mfanyakazi huku akijinasibu kuwa anafanya kama Magu.

Hakuna mtetetezi kwani hata vyama vya wafanyakazi ni kama vimekufa kabisa.
Kumbe uonevu ukianzia juu,hata huku chini utaendelezwa tu.Watu tumekuwa wanyonge sana.Mtu anakufanyisha kazi masaa za ziada bila malipo kwani hapa kazi tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…