Kuna mahusiano ya mapenzi without sex?

haiwezekani ndug van. ila umeanza kwa kishindo yan kakunyima! me nikinyimwa nalia mpaka naonewa huruma kina chofata napewa! tumia hii njia van ni nzuri mno!
 
its possible me i dated a gal for three years bila ku do buh she was a virgin,..eeh isije ikawa yupo humu jf
 
Yani dia tulikuwa tunabishana jana kuhusu kutokufanya sex alafu leo umeyaleta huku? kweli unapenda sex, kumbe ulivyokubali ilikuwa kwa shingo upande tu eeeh

Mrembo by Nature leo hakikisha unampa mwenzio kitumbua...unataka mkae kama kaka na dada!...
 
Last edited by a moderator:
mtafute pacha angu Nicas Mtei aliwezaga...sijui alifanyaje fanyaje...mi ata sikumbuki...ilikua story ndefu!
 
Last edited by a moderator:
Yes unaweza kumpenda mwanamke bila sex :biggrin:
 
Reactions: LD
Nimekuitika LD unasemaje?

Nimesema hivi, hebu tutofautishie, kati ya Mapendo, Mapenzi na (Mapenzi ngono, sex, sijui tendo la ndoa). Mambo kama hayo. Unajua babu kuna mtu mi naweza jisemea nampenda naweza nisitamani hata kufanya sex naye, lakini najisemea nampenda..hebu ka umenielewa utunge mandishi yenye maelezo uweke hapo tuyajadili Asprin
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi bila sex yanawezekana..
Ila to me mapenzi bila pesa hayawezekani..#nawaza tu#

Wazo lako zuri, na mimi mapenzi ya pesa bila kukumwaga badae siwezi, mtazamo tu, tena nikishakujua nakusubiri at time umekolea mpaka miguuni ndo nakudelete... Ha ha ha I am kiddin
 
Mapenzi bila sex yanawezekana..
Ila to me mapenzi bila pesa hayawezekani..#nawaza tu#

Wazo lako zuri, na mimi mapenzi ya pesa bila kukumwaga badae siwezi, mtazamo tu, tena nikishakujua nakusubiri at time umekolea mpaka miguuni ndo nakudelete... Ha ha ha I am kiddin,

Mtasema msemavyo but the truth is that men are too smart than ladies in a love game hata mdada awe mjanja vipi, there is someone who will stands against her and makes her drop tears and regrets a lot.
 
Tafsiri ya ODM ambayo ntaisimamia mpaka CCM itoke madarakani:

Mapendo: Ni yale ya agape. Kwamba upendo huvumilia yote, hauhesabu mabaya, hauchuji....... yaani kudadadeki upendo huwa hauna mwisho ni permanent. Unaweza kumpenda mkeo, mtoto wako, babu yako bibi yako, jirani yako, adui yako etc. Upendo hauna formula unakuja automatically. Mapendo hayana uhusiano wowote na ngono.

Mapenzi: Hii nazungumzia yale ya ukweli yasiyo ya kisanii. Yanahusisha watu wawili wa jinsia tofauti. Mapenzi yana vigezo, yanachuja, yana uwezekano wa ku-expire. Mapenzi yanahusisha mara nyingine makubaliano na mikataba..... Yaani kwa ufupi mapenzi yana uhusiano na ngono.

Niko kaunta ya chini leo, nimeshindwa kupanda ngazi.😛hoto: Umenielewa mshiki LD ?
 
Last edited by a moderator:
Reactions: LD



Kuna uhusiano mwingine huwa ni wa karibu mno, hupita urafiki, na hivyo neno rafiki hushindwa kubeba maana halisi ya ukaribu huo. Ndiyo maana kuna wakati mwingine, mtu hukwambia huyu ni rafiki yangu kipenzi, akimaanisha urafiki umezidi urafiki wa kawaida.
Kwa hiyo, sababu ya kuita mapenzi badala ya urafiki ni kuonyesha tu ukaribu wa ziada kati yako na huyo rafiki wako wa ukweli!
 

Ahaaaa nadhani nimekuelewa, basi kumbe mi ni Mapendo. Mapendo daima babu Asprin.....Love forever
 
Last edited by a moderator:

Nimeipenda hyo hata mm ndo hvyo,,!
 
Yapo...ya kaka na dada. Shemeji na shemeji, cousin na cousin...MD na sectretary wake...the list goes on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…