Karibu sana JF na nakuelewa. Tupo wengi tunasubiria sijui nini filimbi, radi, tsunami yaani sa ingine mpaka hasira. Lakini kwa sababu unampenda ndo maana unasubiria, ndio mapenzi bila ngono yanawezekana hasa kama, mnaishi mbali mbali nikimaanisha shughuli na maisha yenu ya kila siku sio ya kuonana, otherwise nakushauri gonga pembeni wakati unamsubiria kwani si hamjaoana kwa hiyo sio dhambi. After all, atajuaje ? Though no strings should be attached.
Nimesema hivi kwa sababu maisha yanabadilika litakapotokea lolote (God forbid) akiamua kuolewa na mwingine itakusumbua sana.
Kwa sasa, anza taratibu kama mimi, tafuta marafiki wa kike ambao hutakuwa na mahusiano ya ngono nao, kubadilishana mawazo tu with different people tends to help.