Kuna Majamaa wanaambukiza mabinti HIV makusudi

You have to prove beyond the reasonable doubt before the court of law, do you have an HIV/AIDS medical examined report of those two suspects from medical expert, so that to stand as evidence? If not your charge will be dismised

Siyo kazi ya King Kong III ku-prove beyond reasonable doubt. Hiyo ni kazi ya the Republic through its prosecutors.

Pia siyo kazi ya King Kong III kutafuta "an HIV/AIDS medical examined report of those two suspects from medical expert". Hiyo ni kazi ya investigators in their process of gathering the relevant evidence.

Otherwise, hutakuwa tofauti na wale polisi wanaosema upeleleke malalamiko yako kwao tuu kama una ushahidi.

And what do you mean by "If not your charge will be dismised"?
 
Anaitwa Mponjoli Malakasuka kama sijakosea....

Hizo movies nimeshaziona mkuu na unachokisema ni kweli kabisa,

Kuna moja nilikuwa naangali juzi, think ni Righteous to Kill, featuring Al Pacino kama detective na Reberto Di Nero kama mwongoza genge la wezi. Wakaenda kuvunja sehmu kuiba kumbe akina Pacino walikuwa wamesha-set up CCTV wakiwaangalia kila wanachochafnya mle ndani. Pia kulikuwa na polisi wengine eneo la tukio wasibiri tuu kuwakamata pale akina De Nero watakapotoka nje.

Machale yakamcheza De Nero wakaamua kutoka bila kuchukua chochote, wakawasha gari kwa fujo wakaishia. Wale polisi waliokuwa karibu na eneo la tukio wakataka a go ahead toka kwa Pacino ili waanze kuwakimbiza na kuwakamata. Pacino akakataa akisema they haven't stolen anything. They only entered the property unlawful which is a very minor offence. Hawa si watu wa kuingia kwenye nyumba za watu kinyume na sheria; bali ni wezi wakubwa. Inabidi tuwakamate kama wezi. In deed, our assignment ni kukamata wezi siyo wanaoingia kwenye nyumba za watu kinyume na sheria. Basi jamaa wakakasirika lakini kulikuwa hakuna haja ya kuwakamata kama top thieves waliondoka bila kuiba.

lakini ni vyema tukatazama upya muundo wa USHAHIDI, MTUHUMIWA, MSTAKIWA katika huu mchakato mpya wa katiba...

Well, hatuwezi kuweka kila kitu kwenye katiba. Hata katiba ya sasa inawezema wazi kuwa everyone is entitled to fair trial. Tatizo siyo kuwa hatuna sheria. Tatizo ni kutofuatwa kwa hizo sheria. Kwa maana hiyo, hata ukiziweka kwenye katiba zote sidhani kama zitafuatwa. Zitaendelea kubaki kwenye makaratasi tuu.
 
Asante sana mkuu hilo ni criminal case - mimi nakumbuka kuna jamaa wawili wa kutoka Zambia walikuwa wana wahambukiza wasicha na wanawake ugonjwa huo bila huruma - wote wamekwisha fariki dunia lakini wame eneza ugonjwa huu sana, nilitaka kuwachukulia hatua lakini nadhani wakati huo sheria ilikuwa haijapitishwa.
 
mkuu mbona hueleweki?shida yako ni kujua sheria inasemaje kuhusu wanaoambukiza ukimwi makusudi au kuwaturn in hao watu,i smell a rate.
 
Wapo DSM wote hao,jamaa huyu wa mwisho amekiambukiza kitoto cha shule kina kaa mbezi kinaitwa H***y da yani acha tu......Kabinti kazuri keupeeeee kameukwaaaa!!
Huyo binti ulimpima?
 
Huyo binti ulimpima?

Mchepuko wake sasa hivi Una vipele mwili mzima na usoni hatamaniki na yeye mwenye sasa hivi anapumulia machine vidonda mdomoni sehemu za siri na sasa mkanda wa jeshi umemlamba amerudishwa kijijini kwa matibabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…