alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,197
Km mnavyotambua,furaha ni amani ya moyo.
Basi mwenzenu tokea juzi nilipigwa ban ya hadi tarehe ya leo bila sababu yenye mashiko ila basi tu!
Sasa leo ban ilipo expire mda wake si nikaingia fasta kuchungulia humu jamvini kulikoni!Ajabu nilikutana na jina la mdau eti anaitwa `muuza simu za used!Jamani!
Kuna majina mengine km mkwepa kodi,mbitiyaza,mkwilambilambwi,msaga sumu kwa ulimi na mengine mengi yafurahishayo!
Hata yule mchagga mnyakyusa ambaye yeye kutwa kuchwa kazi yake kunichongea tu kwa admn ili nipigwe ban!NA HASIRA NAYE!!!
Mbitiyaza pekee japo ni ... hunikosha sana!
Pamoja mtu wangu wa simu za used.
Weka nawe jina japo moja tu la member lililo tata!