Naomba wana JF mnisaidie. Kwa maana ninavyoelewa kutoa/kuangalia salio kwa ATM ukiomba risiti unakatwa Tsh kadhaa, Lakini ukingalia bila kuomba risiti haukatwi. Ila juzi nimeangalia salio nikazunguka mjini, nikarudi kuangalia tena salio bila kuomba risiti. Ile nitoe hela ili nikatumie nikakuta wamekata buku. Bajeti ilivurugika kinoma asee!
kwa nmb, makato ni 800, ukiomba risit, usiombe risiti, makato ni yale yale, mwanzoni ilikuwa 600, BOT, wakaingiza kodi fulani hivi, so wakaongeza 200, benk nao wakaongeza 200, ndio ikafika800. so mchawi wako ni BOT.