Matukio ya udhalilishaji kingono katika jamii yetu yanasababishwa na mambo yafuatayo:
Wazazi/walezi tumeshindwa kutimiza wajibu wetu wa kuwalea watoto kwenye maadili mema. Wasichana na vijana wamebobea kwenye ngono kuliko kufanya kazi halali.
Kuna kipindi Mkuu wa wilaya ya Ubungo alijaribu kupambana na biashara ya ukahaba kwenye eneo lake lakini alipigwa vita kali na huku akizodolewa, hii ni dalili kuwa jamii yetu yote imeoza, nashangaa watu kushangaa hiyo clip ya ngono ya watu 5 kwa mwanamke 1. Hayo ndio matokeo ya jamii iliyooza.
Kama kweli mnataka tupambane kutokomeza ukatili na udhalilishaji wa wanawake kingono, basi tuwajibike kwa pamoja kukemea matendo ya biashara ya ukahaba kwenye maeneo yetu.