Kuna mambo ni uhuni tu serikalini. Je, huku si ndio kujidhalilisha?

Kuna mambo ni uhuni tu serikalini. Je, huku si ndio kujidhalilisha?

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Fikiria ishu imetumwa muda mrefu hadi leo hainapokelewa.

Labda kuna wanaohudumiwa na hìi mifumo watuambie.

Kwa mtundo huu serikali inajidhalilisha kuweka vitu visivyotekelezeka.

Hii imetuwa lkn not attended
 
Attachments

  • Screenshot_20240416_155608_Chrome.jpg
    Screenshot_20240416_155608_Chrome.jpg
    15.7 KB · Views: 3
Fikiria ishu imetumwa muda mrefu hadi leo hainapokelewaView attachment 2965415

Labda kuna wanaohudumiwa na hìi mifumo watuambie.

Kwa mtundo huu serikali inajidhalilisha kuweka vitu visivyotekelezeka.

Hii imetuwa lkn not attended
Ulituma nini mwali?

Ulituma lini?

Na ulituma kwa bus gani?
 
Back
Top Bottom