Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello !
Asubuhi asubuhi mwananchi yuko mlangoni kwa diwani kutaka chai , mchana ugali. Akiwa na mgonjwa kama hana pesa ya dawa mbio kwa diwani kuomba msaada.
Sasa diwani analemewa analazimika kukwapua kwenye fungu la kata ili aweze ku survive na kuonekana Mheshimiwa kama anavyotukuzwa .
Mwananchi pesa ya madaftari ya mtoto wake hana mbio kwa mbunge. Mtu akiwa na ugwadu wa nyama mbio kwa mbunge atamsifia mpaka apewe msimbazi wa kununua nyama ndio ataondoka.
Wanasiasa kwapueni tu hakuna namna. Baadhi ya Wananchi hawajitambui