Ahsante nimekalibia kukupa mchango wa mawazo, 1. Nenda moja kwamoja kwenye hio pub kwasabab shamba lipo uhakika mda wowote lkn sio Ajira Mzee
2.Unaweza Fanya vyote! Kwa wakati mmoja lkn ukianza na kuajiliwa kwa hio pub.
Kilimo ni lazima ujue soko la hilo zao kwanza. Wapi utauza, kwanani, mwezi gani na bei gani ndio uje ufanye maamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pub ipi mnaiongelea?Ahsante nimekalibia kukupa mchango wa mawazo, 1. Nenda moja kwamoja kwenye hio pub kwasabab shamba lipo uhakika mda wowote lkn sio Ajira Mzee
2.Unaweza Fanya vyote! Kwa wakati mmoja lkn ukianza na kuajiliwa kwa hio pub.