Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Leo ni shida mkuu, watu wanaringisha simu zao walizonunu maduka ya sabasabambona kila mtu leo kwenye comment yake chini kuna signature ya simu anayotumia?
kulikoni
Leo ni shida mkuu, watu wanaringisha simu zao walizonunu maduka ya sabasabambona kila mtu leo kwenye comment yake chini kuna signature ya simu anayotumia?
kulikoni
Leo ni shida mkuu, watu wanaringisha simu zao walizonunu maduka ya sabasaba
mbona kila mtu leo kwenye comment yake chini kuna signature ya simu anayotumia?
kulikoni
Nenda seting utaona signature.Huyo ndio mchiwi wa leo humu ndani.Nimetoka huawei p8 lite.Kua nokia jeneza[emoji12]Mbna mm haioneshi
Duh.. nimeona hii mkuu
Nokia jeneza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukafikiri umana upo mpaka mfukoni mwakeKuna mtu nilikuwa namuona wa maana kumbe anatumia tecno [emoji23]
Hahaaa umenifurahisha mpaka bia zimekata.Tecno sio wa maana wanaotumiaKuna mtu nilikuwa namuona wa maana kumbe anatumia tecno [emoji23]
Nililiona hilo mapema. Ingia kwenye setting kwenye signature uka-cancel.mbona kila mtu leo kwenye comment yake chini kuna signature ya simu anayotumia?
kulikoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Nenda seting utaona signature.Huyo ndio mchiwi wa leo humu ndani.Nimetoka huawei p8 lite.Kua nokia jeneza[emoji12]
Nokia jeneza
Hahhahha wenye tec noooo utawajua tu