Kuna maonesho ya simu leo?

Haya maisha ya hapa ayana tofauti na maisha ya beach kumtambua huyu wa chole, drive inn au wa chama, chanika ni ngumu maana kila demu anawaka. Ahaa ahaa becareful with team assist.
 
mi natumia ifon 7 ajabu huko inaandika nokia tocho

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Duh mbona na wewe ni tecno wereva?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
TECNO ndiyo habari ya mjini kwa sasa.

Bei poa na unapata kila kitu kwanye mtandao.

Samsung na Iphone ni za wachache, wawekezaji.

Simu inauzwa zaidi ya milioni mbili. pesa ambayo tunaikopa kwenye taasisi za mikopo. kuanzia biashara.

TECNO kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…