Vedasto-Zacharia
Senior Member
- Jun 6, 2014
- 113
- 30
Yako ni Tecno C9 mkuuHii SM Galaxy S8+ natumia mm tuu,mbona wengne siwaoni kuwa nazo!! Wengi wenu kwa bei ya 2million hamuwezi imudu.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi nimetoa alama ya tikiTecno mmepatikana leo [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23]Hii SM Galaxy S8+ natumia mm tuu,mbona wengne siwaoni kuwa nazo!! Wengi wenu kwa bei ya 2million hamuwezi imudu.
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ha haaa hapana bana natania tu. Ni kwamba hii brand mara ya kwanza zilikuwaga mchina ila sasa wanazo simu nzuri tu.Kwahiyo kumbe umaana wa mtu unapungua kwa kutumia tecno!!!
Kuwa makini sana mkuuHivi inatokeaje hii ati, mbona zamani haikua hivi tunatishana aisee
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Kumbe ni kama yangu tu...[emoji12] [emoji12] [emoji12]umeiona..na utabaki na labda!
tecno oyee[emoji23]
sent from my nokia torch using jamii forum application
Polekwani ni automatic au mnaset ijitokeze mshamba mimi
Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
ina rangi ya kijani pia??Kumbe ni kama yangu tu...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ingawa yangu niya siaiem mbele kwa mbeleeeeew
Kama kawa mkuuKumbe
Dreams never end by fear
Kwani sasa sio mchina?Ha haaa hapana bana natania tu. Ni kwamba hii brand mara ya kwanza zilikuwaga mchina ila sasa wanazo simu nzuri tu.
Samsung galaxy s6 edge [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unakuja pm? Maaana hizo mbio nimezielewa ujueSamsung galaxy s6 edge [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]