dan ki dan
Member
- Feb 25, 2011
- 19
- 4

Mi nafaidi langu 100%.

na nimetahadharisha ucje ukawa kati ya wale ambao wanaibiwa ilihali wakiamini mali zao ziko salama. Anyway b bleced 4 having such couple

Kila niangaliapo wanaonizunuka nahisi kuibiwa kama wanavyoibiwa wao. na ukiangalia kwa undani wengine wanajua kuwa wanaibiwa, wengine wanahisi lakini pia wapo ambao totally hawaelewi kama wanachezewa kamchezo hako ka kuibiwa. wana JF kama kuna mtu ambaye anafaidi tunda lake mwenyewe na he/ she is 100% sure of this scene please get me informed and how sure u r otherwise uchakachuaji upo
TB yapo manini? hahahaaaYapo...