Kuna marioo kaumbuka mchana huu

Kuna marioo kaumbuka mchana huu

mankaa, ungesubiri mfike geto ukamuachie machata mwili mzima 😆😆
 
hao jamaa nao anataka kuondoka Ili aepushe shari Wana mzuia eti akae hapo hapo hivi Wana akili Timamu kweli !? Kwanza Wana ingiliaje mambo yasiyo wahusu !?
 
Hao jamaa wajirani ni wasenge haoo mwamba anataka kushuka wamemzuia eti 'unaenda wapi ushaharibu tulia wewe'.Ila mali wameicha iondoke bila kelele.
 
Back
Top Bottom