covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Sasa najiuliza kosa langu ni nini yani group nipo na ni mchangiaji mzuri tu wa mada mbalimbali ila aliona sijui namzidi umaarufu leo nimefika sehemu yenye wi-fi nataka kuuliza kama nyama imeshaanza kuja msikitini nakutana na sms ya admin removed you sasa kwanini asingenitoa toka muda yaani alishindwa kabisa kuvumilia hadi kesho tumalize zoezi la kugawa hizo nyama ndio aniremove kweli hii ni haki wajameni. Nimesikitika sana....