Kuna mashine ya kuchonga njiti za makuti?

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wakuu

Kuna fursa mtaani imekuja ya ununuzi wa mafagio ya njiti za makutiii kwaajili ya kuwekezea paa za nyumba za watalii

Wananunua ujazo wa role ya ufagio kwa tsh mia tano 500/

Shunguli ya kukaa na kisu na kuanza kunjoka si ya kitoto je kunaurahisi mashine inayoweza kuchonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…