Kuna mastar Hollywood black Americans movie ambazo atacheza lazima ziwe nzuri mfano hawa hapa

Ukitaja na movie zao itapendeza

1. Will Smith
Im legend too
I robot
After earth
Mib 1&2,3
Independence Day
Hankonck< mtanisahihisha

2. Samuel Jackson
Tarzan
Avengers zote
Glass
Kingsman
Captain Marvel
 
Mkuu kama ulikuwepo yaani, movie akicheza Smith lazima niangalie aisee pia kuna mzee Denzel Washington, Morgan Freeman pamoja na Samuel Jackson.
Nawakubali sana mzee kuna movie hivi kama sikosei kacheza Denzel Washington ni 1&2 jina limenitoka kidogo mule ameua vibaya kwanza movie imetulia harafu yeye huwa anacheza kama yule mtu hana papara sana ni mtu wa slow anasoma akili,

Kiufupi nilizikubali hizo
 
Equalizer 1 and 2
 
Eeh mzee hiyo movie sasa kacheza humo balaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…