Kuna Maumivu Mengine Hayaelezeki

Nafuta namba mda huo huo
Hahaaaa wewe unaakiri kama zangu ezi nikiwa natongoza. Ilikuwa lazima nifute namba hapo hapo kama mtu analeta habari ambazo sizipendi. Shida inakuja yule ambae mmedumu namba yake labda umeikalili
 
Yaaani ni ving'ang'aa,.. wengine tukionaga mawingu hatusubiriagi inyeshe unajiongeza kikubwa,..sasa jamaa kadanda tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia nakazia nakazia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaanza kujitoa mapema kabla haujafukuzwa sikutaki woiii
 
ujumbe km huo sindikiza na tigo pesa au mpesa uone maajabu ya mola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…