Kuna wanaomuona Amunike kama mkombozi wetu kwa sababu anetupeleka Afcon baada ya Miaka 40.Hivyo aachwe tu afanye akipendacho.
Wazo la pili Amunike ni kocha Asiye sikiza mawazo ya watu.
Mimi binafsi naungana na wazo la pili kwa ni kocha mwenye chuki na mbinafsi sana.Ukweli hatuwezi kusema tumejitahidi wakati tumefeli eti gori mbili si mbaya hivi kufungwa gori mbili au tano zote zinazaa point ngapi? Zote zinazaa point 3.
Amuni alipanga kikosi dhaifu sana jana lzm tuseme ukweli. Unacheza na timu bora Africa unapanga kikosi cha kitoto. Jana wasegali walikuwa wanapita katikati hatukuwa na mkata umeme hilo nipo wazi kabisa. Jambo jingine kwanini bocco alicheza pembeni?
Maswali ni mengi lkn hayana msjibu. Kwa ufupi Amunike amefeli sana.