Kuna mawazo ya aina juu ya Amunike.

Booker T

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
61
Reaction score
13
Kuna wanaomuona Amunike kama mkombozi wetu kwa sababu anetupeleka Afcon baada ya Miaka 40.Hivyo aachwe tu afanye akipendacho.
Wazo la pili Amunike ni kocha Asiye sikiza mawazo ya watu.
Mimi binafsi naungana na wazo la pili kwa ni kocha mwenye chuki na mbinafsi sana.Ukweli hatuwezi kusema tumejitahidi wakati tumefeli eti gori mbili si mbaya hivi kufungwa gori mbili au tano zote zinazaa point ngapi? Zote zinazaa point 3.
Amuni alipanga kikosi dhaifu sana jana lzm tuseme ukweli. Unacheza na timu bora Africa unapanga kikosi cha kitoto. Jana wasegali walikuwa wanapita katikati hatukuwa na mkata umeme hilo nipo wazi kabisa. Jambo jingine kwanini bocco alicheza pembeni?
Maswali ni mengi lkn hayana msjibu. Kwa ufupi Amunike amefeli sana.
 
Hakuna mkombozi hapo tumefuzu kwa sababu mbili,
1. Ongezeko la idadi ya timu
2. Kundi la taifa star lilikuwa kundi jepesi kabla na baada ya hisani ya Waganda

Hakuna kocha hapo bali mpigaji tu..

Mwisho hii timu toka enzi za Maximmo kauli mbiu TUMEJITAHIDI
 
Nimekusoma mkuu.
 
Amunike anatuonaje sijui?
Anatuona maboya Embu ona Rais wa ghana aliingia kadi gian kujiondoa kikosini baada ya kunyang'anyw unaodha aliongea na gian na kocha pia
 
Goli 2 ni sawa na tumeshinda ukizingatia kipa wetu ndio alikuwa Man Of The Match
Wakuu lazma tufahamu kuwa tulipigwa mande na COMBINE YA ULAYA

*SENEGAL SQUAD*

*Goalkeepers:*

-Abdoulaye Diallo (Rennes, France)
-Alfred Gomis (Spal, Italy)
-Edouard Mendy (Reims, France)

*Defenders:*

-Kalidou Koulibaly (Napoli, Italy)
-Moussa Wague (FC Barcelona, Spain)
-Pape Abdou Cisse (Olympiacos, Greece)
-Salif Sane (Schalke,Germany)
-Youssouf Sabaly (Bordeaux,France)
-Lamine Gassama (Goztepe, Turkey)
-Saliou Ciss (Valenciennes, France)
-Cheikhou Kouyate (Crystal Palace, England)

*Midfielders:*

-Alfred Ndiaye (Malaga, Spain)
- Santy Ngom (Nancy, France)
- Idrissa Gana Gueye (Everton, England)
-Keprin Diatta (Club Brugge, Belgium)
-Pape Alioune Ndiaye (Galatasaray, Turkey)
-Sidy Sarr (Lorient, France)
-Henri Saivet (Bursaspor, Turkey)

*Forwards:*

-Ismaila Sarr (Rennes, France)
-Keita Balde (Inter Milan, Italy)
- Mbye Niang (Rennes, France)
-Moussa Konate (Amiens, France)
-Mbaye Diagne (Galatasaray, Turkey)
- Sada Thioub (Nimes, France)
-Sadio Mane (Liverpool, England)

Mungu ibarik taifa stars .......[emoji1324]‍♂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…