Katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi kuna mbu wengi kuliko kawaida.
Cha kushangaza hata ukiwauliza manesi wanasema wamezoea sasa najiuliza pale ni hospitali unapeleka mgonjwa na kuna mbu vile huyo mgonjwa atapona au ndo atazidi kuumwa?
Pia vipi kuhusu muuguzi wake anayekaa katika mazingira ya wazi? Yaani ni Hospitali ya Wilaya ila ni kana kwamba upo porini.
Soma Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi