Wabongo kukomaa na shida ndio tunaona kawaida na ushupavu. Juzi yule mhudumu anakatiza mto na kifua wazi eti anafikisha chanjo, mawaziri wanamsifu kwa ushujaa badala ya kumuonea huruma na kukemea kuhatarisha maisha.
Ni wapumbavu tu ndio wanaweza kumsifu Samia.