Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kwa namna wabunge wa viti maalumu wanavyojenga hoja na kuongea bungeni kuna ambaye unaweza kusema anashawishi tuwe na wabunge wa viti maalumu?
Kama yupo ni yupi? Pamoja na kumtaja tuambie mchango wake ambao umuona kwa utendaji kazi wake na mabadiliko ya fikra iaiyobeba kuwawakilisha walio wengi.
Endapo tukiamua kuondoa viti maalumu na fedha za kuwalipa zikatumika kujenga vituo vya afya tutakuwa tumefanya makosa? Nini unadhani ni mbadala kudhibiti huu uchochoro unaotumiwa na wanasiasa kuwapeleka bungeni watu wasio na uwezo?