DOKEZO Kuna mchezo katika malipo ya watendaji Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

DOKEZO Kuna mchezo katika malipo ya watendaji Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kwanini katika zoezi linaloendelea hivi sasa nchini la kuandikisha wapiga kura, watumishi wanaofanya kazi hiyo kulipwa kiasi Cha pesa tofauti tofauti katika majimbo ya uchaguzi nchini wakati kazi inafanana kama siyo wakurugenzi wa uchaguzi hawapigi cha juu?

Kwa mfano wilaya ya Karagwe mkoani Kagera kila Afisa mwandikishaji analipwa elfu 45 per day lakini wilaya ya Nanyumbu mkoani mtwara Kila Afisa uhandikishaji analipwa elfu 40. Wilaya ya Ngara mkoani Kagera wanalipwa elfu 30. Wilaya ya Mbulu Kila Afisa uandikishaji analipwa elfu 40.

Kwanini kuna tofauti katika malipo wakati kazi ni ya kitaifa.?

Tusaidie kufichua uovu wa pesa zinazokaribiwa kupigwa na wakurugenzi wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom