Ule mchezo fulani hivi una involve barriers mbalimbali...juu juu ya maji...ni mashindano fulani hivi within a time uwe umefika mwisho...
Barriers ni mfano kama maduara yanayozunguka, mara njia nyembamba...na mfano kama hizi...wengi wanafail wanaangua chini majini...
Sent using
Jamii Forums mobile app