Kuna Media inakumbushia yaliyowahi tokea Zanzibar. Ina maana gani?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna mada hapa niliweka Moderator unaweza kurudisha kichwa cha habari kina sema inawezekana ni kulipa kisasi.

Kuna media hipo Facebook inakazania matukio yaliyotokea Zanzibar mfano la kupinduliwa na wale waliohukumiwa kifo mbele ya wananchi.

Maandamano ya kupinga uchaguzi kipindi cha mkapa.

Hapa unaona kabisa ile kauli aliyotoa kuona kawaida mauwaji yaliyotokea October 29 ni sawa kabisa yaliyofanyika kwao.

Sijajua jina lake ila hipo mkiingia Facebook kwenye short video
 
Kama haukuwa umefahamu, Samia hii analipiza kisasi kwa niaba ya Wapemba. She doesn't care how many of you will die, as the matter of fact she enjoys when you die. To her it's like the revenge opportunity just popped unexpectedly on a silver platter.
 
 
Basi huenda wazenj akili zao zimekalili kuchinja tu kama baba zao waoman!

Sio wazenji mkuu ni CCM.

Ukisema wazenji unawaonea, Hao ni CCM ndo maana wamekaa kimya na ku enjoy Watu kuuliwa haijalishi ni Zanzibar au Tanganyika.

Hata zanzibar wakiandamana D9 watachinjwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…